Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 42:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Nao wakaanza kusemezana: “Bila shaka tuna hatia kuhusiana na ndugu yetu,+ kwa sababu tuliona nafsi yake ikitaabika alipotuomba kwa bidii tumwonee huruma, lakini sisi hatukusikiliza. Ndiyo sababu taabu hii imetupata.”+

  • Zaburi 133:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 133 Tazama! Jinsi ilivyo vyema na jinsi inavyopendeza

      Ndugu kukaa pamoja kwa umoja!+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki