Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 24:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Baada ya hayo, huyo mwanamume akaingia ndani ya nyumba, naye akaanza kufungua ngamia lijamu na kuwapa ngamia majani na chakula cha mifugo na maji ya kuosha miguu yake na miguu ya wanaume waliokuwa pamoja naye.+

  • 1 Samweli 25:41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Mara moja akasimama, akainama kifudifudi,+ akasema: “Tazama, mimi ni kijakazi wako, niwe mjakazi wa kuosha miguu+ ya watumishi wa bwana wangu.”+

  • Yohana 13:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kisha akatia maji ndani ya beseni akaanza kuiosha miguu+ ya wanafunzi na kuikausha kwa kitambaa ambacho alikuwa amejifunga kiunoni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki