Mwanzo 18:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Tafadhali, acha maji kidogo yachukuliwe, nanyi mwoshwe miguu yenu.+ Kisha mketi chini ya mti.+ Luka 7:44 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 44 Ndipo akamgeukia yule mwanamke na kumwambia Simoni: “Unamwona mwanamke huyu? Niliingia katika nyumba yako; wewe hukunipa maji+ kwa ajili ya miguu yangu. Lakini mwanamke huyu ameilowesha miguu yangu kwa machozi yake na kuyafuta kwa nywele zake.
44 Ndipo akamgeukia yule mwanamke na kumwambia Simoni: “Unamwona mwanamke huyu? Niliingia katika nyumba yako; wewe hukunipa maji+ kwa ajili ya miguu yangu. Lakini mwanamke huyu ameilowesha miguu yangu kwa machozi yake na kuyafuta kwa nywele zake.