Mwanzo 12:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Naye Yehova akamwambia Abramu: “Nenda zako kutoka katika nchi yako na kutoka kwa watu wa jamaa yako na kutoka kwa nyumba ya baba yako mpaka katika nchi ambayo nitakuonyesha;+ Matendo 7:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 naye akamwambia, ‘Toka katika nchi yako na kutoka kwa watu wa jamaa yako na uje mpaka katika nchi ambayo nitakuonyesha.’+
12 Naye Yehova akamwambia Abramu: “Nenda zako kutoka katika nchi yako na kutoka kwa watu wa jamaa yako na kutoka kwa nyumba ya baba yako mpaka katika nchi ambayo nitakuonyesha;+
3 naye akamwambia, ‘Toka katika nchi yako na kutoka kwa watu wa jamaa yako na uje mpaka katika nchi ambayo nitakuonyesha.’+