Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 15:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Lakini, tazama! neno la Yehova likamjia kwa maneno haya: “Mtu huyu hatakuwa mrithi wako, lakini yule atakayetoka katika viuno vyako mwenyewe ndiye atakayekuwa mrithi wako.”+

  • Yohana 8:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Zaidi ya hayo, mtumwa hakai nyumbani milele; mwana hukaa milele.+

  • Wagalatia 4:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Hata hivyo, Andiko linasema nini? “Mfukuze kijakazi na mwana wake, kwa maana mwana wa kijakazi hatakuwa mrithi hata kidogo pamoja na mwana wa mwanamke huru.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki