Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 21:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 “Nayo haya ndiyo maamuzi ya hukumu utakayoweka mbele yao:+

  • Kumbukumbu la Torati 4:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 “Na sasa, Ee Israeli, sikilizeni masharti na maamuzi ya hukumu ninayowafundisha ninyi kufanya, ili mpate kuishi+ na kwa kweli mpate kuingia na kuimiliki nchi ambayo Yehova Mungu wa mababu zenu anawapa ninyi.

  • Waebrania 8:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Lakini sasa Yesu amepata utumishi wa watu wote ulio bora zaidi, hivi kwamba yeye pia ni mpatanishi+ wa agano lililo bora kwa kulinganishwa,+ ambalo limefanywa imara kisheria juu ya ahadi zilizo bora.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki