Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 35:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Na wanawake wote waliokuwa wenye hekima ya moyo+ wakasokota kwa mikono yao, nao wakawa wakileta nyuzi zilizosokotwa za ule uzi wa bluu na ile sufu iliyotiwa rangi ya zambarau, kile kitambaa chenye rangi nyekundu ya kochinili na kile kitani bora.

  • Kutoka 38:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Nacho kisitiri cha lango la ua kilikuwa kazi ya mfumaji, cha uzi wa bluu na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau na kitambaa chenye rangi nyekundu ya kochinili na kitani bora kilichosokotwa,+ na urefu wake ulikuwa mikono 20, nacho kimo kotekote kilikuwa mikono 5 sawasawa na mapazia ya ua.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki