Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 28:43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 43 Nazo zitavaliwa na Haruni na wanawe wanapoingia kwenye hema la mkutano au wanapoenda karibu na madhabahu ili kuhudumu katika mahali patakatifu, ili wasifanye kosa na kufa hakika. Ni sheria mpaka wakati usio na kipimo kwa ajili yake na uzao wake baada yake.+

  • Kutoka 40:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Nawe lazima utawatia mafuta kama vile ulivyomtia mafuta baba yao,+ nao lazima watanitumikia wakiwa makuhani, na kutiwa kwao mafuta lazima kutumike kwao kwa kuendelea kukiwa ukuhani mpaka wakati usio na kipimo katika vizazi vyao.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki