Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 38:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha akafanya beseni ya shaba+ na kinara chake cha shaba, kwa kutumia vioo vya watumishi wanawake ambao walifanya utumishi uliopangwa kwenye mwingilio wa hema la mkutano.+

  • Mambo ya Walawi 8:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kisha akatapanya sehemu yake mara saba kwenye madhabahu na kuitia mafuta madhabahu+ na vyombo vyake vyote na ile beseni na kinara chake ili kuvitakasa.

  • 1 Wafalme 7:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Naye akatengeneza beseni+ 10 za shaba. Kila beseni ingeweza kujazwa kwa vipimo 40 vya bathi. Kila beseni ilikuwa na urefu wa mikono 4. Palikuwa na beseni moja juu ya kila behewa kwa ajili ya yale mabehewa 10.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki