Kutoka 27:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 “Nawe utafanya madhabahu ya mbao za mshita, mikono mitano urefu wake na mikono mitano upana wake. Madhabahu+ hiyo itakuwa mraba, na kimo chake kitakuwa mikono mitatu.
27 “Nawe utafanya madhabahu ya mbao za mshita, mikono mitano urefu wake na mikono mitano upana wake. Madhabahu+ hiyo itakuwa mraba, na kimo chake kitakuwa mikono mitatu.