-
Kutoka 26:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Nawe utafanya vitanzi 50 kwenye upindo wa kile kitambaa kimoja, cha nje kabisa kwenye ule mfuatano, na vitanzi 50 kwenye upindo wa kitambaa kilicho mahali pale pengine pa kuungania.
-