36 Nawe utamtoa ng’ombe-dume wa toleo la dhambi kila siku kwa ajili ya upatanisho,+ nawe utaitakasa madhabahu kutokana na dhambi kwa kufanya upatanisho juu yake, nawe utaitia mafuta+ ili kuitakasa.
11 Kisha akatapanya sehemu yake mara saba kwenye madhabahu na kuitia mafuta madhabahu+ na vyombo vyake vyote na ile beseni na kinara chake ili kuvitakasa.