Mwanzo 47:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Kwa hiyo Yosefu akampa baba yake na ndugu zake makao, naye akawapa mali katika nchi ya Misri, katika sehemu bora kabisa ya nchi hiyo, katika nchi ya Ramesesi,+ kama vile tu Farao alivyokuwa ameamuru.
11 Kwa hiyo Yosefu akampa baba yake na ndugu zake makao, naye akawapa mali katika nchi ya Misri, katika sehemu bora kabisa ya nchi hiyo, katika nchi ya Ramesesi,+ kama vile tu Farao alivyokuwa ameamuru.