-
Mwanzo 38:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Tena, alipokuwa akizaa mmoja akaunyoosha mkono wake, na mara moja mzalishaji akamfunga kitambaa chekundu mkononi, akisema: “Huyu alitoka kwanza.”
-