Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 7:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Baadaye Yehova akamwambia Musa: “Mwambie Haruni, ‘Ichukue fimbo yako na kuunyoosha mkono+ wako juu ya maji ya Misri, juu ya mito yao, juu ya mifereji yao ya Nile na juu ya madimbwi yao yenye matete+ na juu ya maji yao yote yaliyozuiliwa, ili yawe damu.’ Na hakika damu itakuwa katika nchi yote ya Misri na katika vyombo vya mbao na katika vyombo vya mawe.”

  • Kutoka 8:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Baadaye Yehova akamwambia Musa: “Mwambie Haruni, ‘Nyoosha mkono wako pamoja na fimbo+ yako juu ya mito, mifereji ya Nile na madimbwi yenye matete na kuwafanya vyura waje juu ya nchi ya Misri.’”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki