Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 9:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Basi wakachukua masizi ya tanuru na kusimama mbele ya Farao, naye Musa akayarusha kuelekea mbinguni, nayo yakawa majipu yenye malengelenge,+ yanayopasuka juu ya mwanadamu na mnyama.

  • Kumbukumbu la Torati 7:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na Yehova atakuondolea kila ugonjwa; na yale magonjwa mabaya ya Misri unayoyajua,+ hatayaweka juu yako, naye atayaweka juu ya wote wanaokuchukia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki