Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 6:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 “Mwamuru Haruni na wanawe, na kusema, ‘Hii ndiyo sheria ya toleo la kuteketezwa:+ Toleo la kuteketezwa litakuwa kwenye jiko juu ya madhabahu usiku kucha mpaka asubuhi, nao moto wa madhabahu utawashwa ndani yake.

  • Ayubu 1:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na ilikuwa kwamba wakati siku za karamu zimemaliza mzunguko, Ayubu alikuwa akituma na kuwatakasa;+ naye aliamka asubuhi na mapema na kutoa dhabihu za kuteketezwa+ kulingana na hesabu yao wote; kwa kuwa Ayubu alisema, “labda wanangu wametenda dhambi nao wamemlaani+ Mungu moyoni mwao.”+ Hivyo ndivyo Ayubu alivyofanya sikuzote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki