Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 9:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na, tena, damu ya nafsi zenu nitaitaka. Kwa mkono wa kila kiumbe kilicho hai nitaitaka; na kwa mkono wa mwanadamu, kwa mkono wa kila mmoja ambaye ni ndugu yake, nitaitaka nafsi ya mwanadamu.+

  • Hesabu 35:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 “‘Nanyi msiichafue nchi mliyo ndani yake; kwa sababu damu ndiyo inayoichafua nchi,+ na kwa ajili ya nchi hakuwezi kuwa na upatanisho kuhusu damu ambayo imemwagwa juu yake isipokuwa kwa damu ya yule anayeimwaga.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki