Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 23:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Nanyi hamtafanya kazi ya aina yoyote siku hiyo, kwa sababu ni siku ya upatanisho ili kufanya upatanisho+ kwa ajili yenu mbele za Yehova Mungu wenu;

  • Mathayo 12:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Yote hayo yakifikiriwa, mwanadamu ni mwenye thamani kama nini kuliko kondoo!+ Kwa hiyo ni halali kufanya jambo zuri siku ya sabato.”

  • Marko 3:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Halafu akawaambia: “Je, katika siku ya sabato ni halali kutenda tendo jema au kutenda tendo baya, kuokoa au kuua nafsi?”+ Lakini wao wakakaa kimya.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki