Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 2:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Naye atauleta kwa wana wa Haruni, makuhani, naye kuhani atachukua kipimo cha mkono mmoja wa unga huo laini na mafuta yake pamoja na ubani wake wote; naye ataufukiza uwe kumbukumbu+ lake kwenye madhabahu, kama toleo linalotolewa kwa njia ya moto lililo na harufu ya kumtuliza Yehova.

  • Mambo ya Walawi 6:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na mmoja wao atachukua kipimo cha mkono mmoja wa huo unga laini wa toleo la nafaka na sehemu ya mafuta yake na ubani wote ulio juu ya toleo hilo la nafaka, naye ataufukiza kwenye madhabahu uwe harufu ya kutuliza ya kumbukumbu+ lake kwa Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki