-
Mambo ya Walawi 25:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Nanyi mtapanda mbegu mwaka wa nane na mtakula kutokana na mazao ya zamani mpaka mwaka wa tisa. Mtakula yale ya zamani mpaka mazao yake yaingie.
-