Mambo ya Walawi 6:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Na mmoja wao atachukua kipimo cha mkono mmoja wa huo unga laini wa toleo la nafaka na sehemu ya mafuta yake na ubani wote ulio juu ya toleo hilo la nafaka, naye ataufukiza kwenye madhabahu uwe harufu ya kutuliza ya kumbukumbu+ lake kwa Yehova. Hesabu 5:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Naye kuhani atachukua sehemu ya toleo la nafaka iwe kumbukumbu+ yake naye ataifukiza juu ya madhabahu, kisha atamnywesha yule mwanamke maji hayo.
15 Na mmoja wao atachukua kipimo cha mkono mmoja wa huo unga laini wa toleo la nafaka na sehemu ya mafuta yake na ubani wote ulio juu ya toleo hilo la nafaka, naye ataufukiza kwenye madhabahu uwe harufu ya kutuliza ya kumbukumbu+ lake kwa Yehova.
26 Naye kuhani atachukua sehemu ya toleo la nafaka iwe kumbukumbu+ yake naye ataifukiza juu ya madhabahu, kisha atamnywesha yule mwanamke maji hayo.