Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 29:41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Nawe utamtoa yule mwana-kondoo dume wa pili kati ya zile jioni mbili. Pamoja na toleo la nafaka+ kama lile la asubuhi na pamoja na toleo la kinywaji kama lake, utamtoa awe harufu ya kutuliza, toleo linalotolewa kwa Yehova kwa njia ya moto.

  • Hesabu 28:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Nawe utamtoa yule mwana-kondoo dume mwingine katikati ya zile jioni mbili. Pamoja na toleo lilelile la nafaka kama lile la asubuhi na pamoja na toleo lake lilelile la kinywaji utalitoa likiwa toleo linalotolewa kwa njia ya moto, toleo lenye harufu ya kumtuliza Yehova.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki