Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 13:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Naye kuhani ataliangalia lile pigo lililo katika ngozi ya mwili.+ Nywele zilizo katika pigo hilo zikigeuka na kuwa nyeupe na pigo lionekane kuwa limepenya chini ya ngozi ya mwili wake, ni pigo la ukoma. Naye kuhani atalitazama, naye atamtangaza kuwa asiye safi.

  • 2 Mambo ya Nyakati 26:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Wakati Azaria yule mkuu wa makuhani na makuhani wote walipogeuka kumwelekea, tazama, alikuwa amepigwa na ukoma katika paji la uso wake!+ Kwa hiyo wakaanza kumtoa hapo upesi, naye mwenyewe pia akafanya haraka kutoka nje, kwa sababu Yehova alikuwa amempiga.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki