-
Mambo ya Walawi 12:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 “‘Sasa, ikiwa atazaa mtoto wa kike, basi atakuwa asiye safi kwa siku 14, kama vile wakati wa kuwa na hedhi. Kwa siku 66 zaidi atakaa katika damu ya utakaso wake.
-