Mambo ya Walawi 11:40 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 40 Naye anayekula+ sehemu yoyote ya mzoga wake atayafua mavazi yake, naye atakuwa asiye safi mpaka jioni; naye anayeubeba mzoga wake atayafua mavazi yake, naye atakuwa asiye safi mpaka jioni.
40 Naye anayekula+ sehemu yoyote ya mzoga wake atayafua mavazi yake, naye atakuwa asiye safi mpaka jioni; naye anayeubeba mzoga wake atayafua mavazi yake, naye atakuwa asiye safi mpaka jioni.