Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 22:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Balaki aliposikia kwamba Balaamu amekuja, mara moja akatoka ili kumpokea katika jiji la Moabu, lililo kwenye ukingo wa Arnoni, lililo mwishoni mwa eneo hilo.+

  • Kumbukumbu la Torati 2:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 “‘Ondokeni, mshike njia na kuvuka bonde la mto la Arnoni.+ Tazama, nimemtia mkononi mwako Sihoni+ mfalme wa Heshboni, yule Mwamori. Kwa hiyo anza kumiliki nchi yake, na kupigana vita naye.

  • Waamuzi 11:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Walipotembea kupitia nyika, waliizunguka nchi ya Edomu+ na nchi ya Moabu, nao wakaenda upande wa mashariki wa nchi ya Moabu,+ wakakaa katika eneo la Arnoni; nao hawakuja katika mpaka wa Moabu,+ kwa sababu Arnoni ulikuwa ni mpaka wa Moabu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki