Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 2
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Kumbukumbu la Torati 2:1

Marejeo

  • +Hes 14:25; Kum 1:40

Kumbukumbu la Torati 2:3

Marejeo

  • +Kum 2:7

Kumbukumbu la Torati 2:4

Marejeo

  • +Mwa 36:8; Hes 20:14; Kum 23:7
  • +Mwa 27:40; 36:10
  • +Mwa 27:39; 36:9; Kum 2:8
  • +Kut 15:15; 23:27; Kum 2:25

Kumbukumbu la Torati 2:5

Marejeo

  • +Mwa 32:3; 36:8; Kum 32:8; Yos 24:4; 2Nya 20:10; Mdo 17:26

Kumbukumbu la Torati 2:6

Marejeo

  • +Hes 20:19

Kumbukumbu la Torati 2:7

Marejeo

  • +Mwa 12:2; Met 10:22
  • +Kum 8:2; 29:5; Zb 95:10; Mdo 13:18
  • +Ne 9:21; Zb 23:1; 34:9, 10; 37:25; Flp 4:19

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    1/2022, kur. 5-6

Kumbukumbu la Torati 2:8

Marejeo

  • +Hes 20:20, 21; 21:4; Amu 11:18
  • +Kum 11:30
  • +2Nya 8:17
  • +Hes 21:13; Amu 11:17; 2Nya 20:10

Kumbukumbu la Torati 2:9

Marejeo

  • +Mwa 19:37
  • +Hes 21:15; Kum 2:18; Isa 15:1

Kumbukumbu la Torati 2:10

Marejeo

  • +Mwa 14:5
  • +Hes 13:33; Yos 14:15

Kumbukumbu la Torati 2:11

Marejeo

  • +Mwa 14:5; Kum 3:11; 1Nya 20:6
  • +Hes 13:22, 28, 33; Kum 1:28; 9:2

Kumbukumbu la Torati 2:12

Marejeo

  • +Mwa 14:6; 36:20; 1Nya 1:39
  • +Mwa 36:10
  • +Mwa 27:39, 40

Kumbukumbu la Torati 2:13

Marejeo

  • +Hes 21:12

Kumbukumbu la Torati 2:14

Marejeo

  • +Hes 14:33; 32:11; Kum 1:35; Zb 95:11; 106:26; Eze 20:15; Ebr 3:18; Yud 5

Kumbukumbu la Torati 2:15

Marejeo

  • +Ebr 10:31
  • +1Ko 10:5

Kumbukumbu la Torati 2:16

Marejeo

  • +Hes 26:64

Kumbukumbu la Torati 2:18

Marejeo

  • +Hes 21:15, 28

Kumbukumbu la Torati 2:19

Marejeo

  • +Mwa 19:38; Kum 2:9; Amu 11:15; 2Nya 20:10; Mdo 17:26

Kumbukumbu la Torati 2:20

Marejeo

  • +Mwa 15:20; Kum 3:11; Yos 17:15

Kumbukumbu la Torati 2:21

Marejeo

  • +Hes 13:33; Kum 2:10; 9:2
  • +Kut 15:3; Zb 24:8

Kumbukumbu la Torati 2:22

Marejeo

  • +Mwa 36:8
  • +Mwa 14:6; 36:20; Kum 2:12

Kumbukumbu la Torati 2:23

Marejeo

  • +Yos 13:3
  • +Mwa 10:19; Yos 11:22
  • +Mwa 10:14; 1Nya 1:12
  • +Yer 47:4; Amo 9:7; Mdo 27:13

Kumbukumbu la Torati 2:24

Marejeo

  • +Hes 21:13; Amu 11:18
  • +Hes 21:23; Yos 9:10

Kumbukumbu la Torati 2:25

Marejeo

  • +Kut 15:14; 23:27; Kum 11:25; Yos 2:9

Kumbukumbu la Torati 2:26

Marejeo

  • +Yos 13:18; 21:37
  • +Hes 21:21
  • +Kum 20:10

Kumbukumbu la Torati 2:27

Marejeo

  • +Hes 21:22; Amu 11:19

Kumbukumbu la Torati 2:28

Marejeo

  • +Hes 20:19

Kumbukumbu la Torati 2:29

Marejeo

  • +Kum 2:8
  • +Kum 2:9, 18
  • +Kum 9:5; Yos 1:11

Kumbukumbu la Torati 2:30

Marejeo

  • +Ayu 34:11; Ro 9:18
  • +Hes 21:25; Zb 135:10; 136:18

Kumbukumbu la Torati 2:31

Marejeo

  • +Hes 32:33; Zb 135:12

Kumbukumbu la Torati 2:32

Marejeo

  • +Hes 21:23; Amu 11:20

Kumbukumbu la Torati 2:33

Marejeo

  • +Kum 20:13; Ne 9:22; Zb 135:11; 136:18
  • +Hes 21:24; Kum 29:7

Kumbukumbu la Torati 2:34

Marejeo

  • +Law 27:28; Hes 31:17; Kum 20:16, 17

Kumbukumbu la Torati 2:35

Marejeo

  • +Yos 8:27

Kumbukumbu la Torati 2:36

Marejeo

  • +Kum 3:12; 4:48; Yos 13:9
  • +Yos 1:5; Zb 44:3

Kumbukumbu la Torati 2:37

Marejeo

  • +Kum 3:16; Amu 11:15
  • +Hes 21:24; Yos 12:2

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Kum. 2:1Hes 14:25; Kum 1:40
Kum. 2:3Kum 2:7
Kum. 2:4Mwa 36:8; Hes 20:14; Kum 23:7
Kum. 2:4Mwa 27:40; 36:10
Kum. 2:4Mwa 27:39; 36:9; Kum 2:8
Kum. 2:4Kut 15:15; 23:27; Kum 2:25
Kum. 2:5Mwa 32:3; 36:8; Kum 32:8; Yos 24:4; 2Nya 20:10; Mdo 17:26
Kum. 2:6Hes 20:19
Kum. 2:7Kum 8:2; 29:5; Zb 95:10; Mdo 13:18
Kum. 2:7Ne 9:21; Zb 23:1; 34:9, 10; 37:25; Flp 4:19
Kum. 2:7Mwa 12:2; Met 10:22
Kum. 2:8Hes 20:20, 21; 21:4; Amu 11:18
Kum. 2:8Kum 11:30
Kum. 2:82Nya 8:17
Kum. 2:8Hes 21:13; Amu 11:17; 2Nya 20:10
Kum. 2:9Mwa 19:37
Kum. 2:9Hes 21:15; Kum 2:18; Isa 15:1
Kum. 2:10Mwa 14:5
Kum. 2:10Hes 13:33; Yos 14:15
Kum. 2:11Mwa 14:5; Kum 3:11; 1Nya 20:6
Kum. 2:11Hes 13:22, 28, 33; Kum 1:28; 9:2
Kum. 2:12Mwa 14:6; 36:20; 1Nya 1:39
Kum. 2:12Mwa 36:10
Kum. 2:12Mwa 27:39, 40
Kum. 2:13Hes 21:12
Kum. 2:14Hes 14:33; 32:11; Kum 1:35; Zb 95:11; 106:26; Eze 20:15; Ebr 3:18; Yud 5
Kum. 2:15Ebr 10:31
Kum. 2:151Ko 10:5
Kum. 2:16Hes 26:64
Kum. 2:18Hes 21:15, 28
Kum. 2:19Mwa 19:38; Kum 2:9; Amu 11:15; 2Nya 20:10; Mdo 17:26
Kum. 2:20Mwa 15:20; Kum 3:11; Yos 17:15
Kum. 2:21Hes 13:33; Kum 2:10; 9:2
Kum. 2:21Kut 15:3; Zb 24:8
Kum. 2:22Mwa 36:8
Kum. 2:22Mwa 14:6; 36:20; Kum 2:12
Kum. 2:23Yos 13:3
Kum. 2:23Mwa 10:19; Yos 11:22
Kum. 2:23Mwa 10:14; 1Nya 1:12
Kum. 2:23Yer 47:4; Amo 9:7; Mdo 27:13
Kum. 2:24Hes 21:13; Amu 11:18
Kum. 2:24Hes 21:23; Yos 9:10
Kum. 2:25Kut 15:14; 23:27; Kum 11:25; Yos 2:9
Kum. 2:26Yos 13:18; 21:37
Kum. 2:26Hes 21:21
Kum. 2:26Kum 20:10
Kum. 2:27Hes 21:22; Amu 11:19
Kum. 2:28Hes 20:19
Kum. 2:29Kum 2:8
Kum. 2:29Kum 2:9, 18
Kum. 2:29Kum 9:5; Yos 1:11
Kum. 2:30Ayu 34:11; Ro 9:18
Kum. 2:30Hes 21:25; Zb 135:10; 136:18
Kum. 2:31Hes 32:33; Zb 135:12
Kum. 2:32Hes 21:23; Amu 11:20
Kum. 2:33Kum 20:13; Ne 9:22; Zb 135:11; 136:18
Kum. 2:33Hes 21:24; Kum 29:7
Kum. 2:34Law 27:28; Hes 31:17; Kum 20:16, 17
Kum. 2:35Yos 8:27
Kum. 2:36Kum 3:12; 4:48; Yos 13:9
Kum. 2:36Yos 1:5; Zb 44:3
Kum. 2:37Kum 3:16; Amu 11:15
Kum. 2:37Hes 21:24; Yos 12:2
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Kumbukumbu la Torati 2:1-37

Kumbukumbu la Torati

2 “Kisha tukageuka na kuondoka kuelekea nyikani kupitia njia ya Bahari Nyekundu, kama vile Yehova alivyokuwa amesema nami;+ nasi tukauzunguka Mlima Seiri kwa siku nyingi. 2 Mwishowe Yehova akaniambia hivi, 3 ‘Mmeuzunguka mlima huu muda mrefu vya kutosha.+ Geukeni mwelekee kaskazini. 4 Nawe uwaamuru watu, na kusema: “Mnapita kando ya mpaka wa ndugu zenu,+ wana wa Esau,+ ambao wanakaa Seiri,+ nao wataogopa kwa sababu yenu,+ nanyi lazima muwe waangalifu sana. 5 Msigombane nao, kwa sababu sitawapa ninyi sehemu ya nchi yao hata upana wa wayo wa mguu; kwa sababu nimempa Esau Mlima Seiri uwe miliki yake.+ 6 Chakula mtakachonunua kutoka kwao kwa pesa, mtakula; na pia maji mtakayonunua kutoka kwao kwa pesa, mtakunywa.+ 7 Kwa maana Yehova Mungu wako amekubariki wewe katika kila tendo la mkono wako.+ Anajua vema juu ya kutembea kwako katika nyika hii kuu. Miaka hii 40+ Yehova Mungu wako amekuwa pamoja nawe. Hukukosa kitu chochote.”’+ 8 Basi tukapita mbali na ndugu zetu, wana wa Esau,+ wanaokaa Seiri, kutoka njia ya Araba,+ kutoka Elathi na kutoka Esion-geberi.+

“Kisha tukageuka na kupitia njia ya nyika ya Moabu.+ 9 Ndipo Yehova akaniambia, ‘Usimsumbue Moabu wala kupigana vita naye, kwa sababu sitakupa wewe sehemu yoyote ya nchi yake iwe miliki yako, kwa maana wana wa Loti+ nimewapa Ari+ iwe miliki yao. 10 (Waemi+ walikaa humo nyakati za kale, watu wakubwa na wengi sana na warefu kama Waanaki.+ 11 Nao Warefaimu,+ wao pia walionwa kama Waanaki,+ na Wamoabu walikuwa wakiwaita Waemi. 12 Nao Wahori+ walikaa Seiri nyakati za kale, na wana wa Esau+ wakawafukuza na kuwaangamiza kutoka mbele yao, wakakaa mahali pao,+ kama vile Israeli atakavyoitendea nchi iliyo miliki yake, ambayo hakika Yehova atawapa.) 13 Wakati huu ondokeni mshike njia na kuvuka bonde la mto la Zeredi.’ Basi tukavuka bonde la mto la Zeredi.+ 14 Na siku tulizotembea kutoka Kadesh-barnea mpaka tulipovuka bonde la mto la Zeredi zilikuwa miaka 38, mpaka kizazi chote cha wanaume wa vita kilipokuwa kimefikia mwisho wake kutoka katika kambi, kama vile Yehova alivyokuwa amewaapia.+ 15 Na mkono+ wa Yehova pia ulikuwa juu yao ili kuwafadhaisha kutoka katika kambi, mpaka walipofikia mwisho wao.+

16 “Na ikawa kwamba mara tu wanaume hao wa vita walipokwisha kufa wote kutoka kati ya watu,+ 17 Yehova akazidi kusema nami, na kuniambia hivi, 18 ‘Leo utapita karibu na eneo la Moabu, yaani, Ari,+ 19 nawe utakaribia mbele ya wana wa Amoni. Usiwasumbue wala usigombane nao, kwa sababu sitakupa sehemu yoyote ya nchi ya wana wa Amoni iwe miliki yako, kwa maana nimewapa wana wa Loti iwe miliki yao.+ 20 Hiyo pia ilikuwa ikionwa kuwa nchi ya Warefaimu.+ (Warefaimu walikaa humo nyakati za kale, nao Waamoni walikuwa wakiwaita hao Wazamzumi. 21 Walikuwa wakubwa na wengi sana na watu warefu kama Waanaki;+ naye Yehova akawaangamiza+ kutoka mbele yao, ili wapate kuwafukuza na kukaa mahali pao; 22 kama vile alivyowafanyia wana wa Esau, wanaokaa Seiri,+ wakati ambapo aliwaangamiza Wahori+ kutoka mbele yao, ili wapate kuwafukuza na kukaa mahali pao mpaka leo hii. 23 Nao Waavi,+ waliokuwa wakikaa katika makao yaliyoko mpaka Gaza,+ Wakaftori,+ waliotoka Kaftori,+ wakawaangamiza, ili wapate kukaa mahali pao.)

24 “‘Ondokeni, mshike njia na kuvuka bonde la mto la Arnoni.+ Tazama, nimemtia mkononi mwako Sihoni+ mfalme wa Heshboni, yule Mwamori. Kwa hiyo anza kumiliki nchi yake, na kupigana vita naye. 25 Leo nitaanza kutia hofu kwa ajili yako na woga kwa ajili yako mbele ya watu chini ya mbingu zote, ambao watasikia habari juu yako; nao watafadhaika na kuwa na maumivu kama yale ya kuzaa kwa sababu yako.’+

26 “Ndipo nikatuma wajumbe kutoka katika nyika ya Kedemothi+ mpaka kwa Sihoni+ mfalme wa Heshboni wakiwa na maneno ya amani,+ na kusema, 27 ‘Niruhusu nipite katika nchi yako. Nitatembea barabarani tu. Sitageuka kuume wala kushoto.+ 28 Chakula utakachoniuzia kwa pesa, ndicho nitakachokula; na maji utakayonipa kwa pesa, ndiyo nitakayokunywa. Ila tu uniruhusu nipite kwa miguu yangu,+ 29 kama vile wana wa Esau wanaokaa Seiri+ na Wamoabu+ wanaokaa Ari walivyonifanyia, mpaka nitakapokuwa nimevuka Yordani na kuingia nchi ambayo Yehova Mungu wetu anatupa sisi.’+ 30 Naye Sihoni mfalme wa Heshboni hakuturuhusu tupite katikati yake, kwa sababu Yehova Mungu wako alikuwa ameiacha roho yake iwe kaidi+ na moyo wake uwe mgumu, ili amtie mkononi mwako kama ilivyo leo hii.+

31 “Ndipo Yehova akaniambia, ‘Tazama, nimeanza kumtia Sihoni na nchi yake mkononi mwako. Anza kuimiliki nchi yake.’+ 32 Sihoni alipotoka nje, yeye na watu wake wote, ili kukutana nasi vitani huko Yahazi,+ 33 ndipo Yehova Mungu wetu alipomtia mkononi mwetu,+ hivi kwamba tukamshinda yeye+ na wanawe na watu wake wote. 34 Nasi tukateka majiji yake yote wakati huo na kuangamiza+ kila jiji, wanaume na wanawake na watoto wadogo. Hatukuacha mwokokaji yeyote. 35 Ila wanyama wa kufugwa ndio tuliochukua wawe nyara zetu, pamoja na nyara za majiji tuliyokuwa tumeteka.+ 36 Toka Aroeri,+ jiji lililo kando ya ukingo wa bonde la mto la Arnoni, na lile jiji lililo katika bonde la mto, mpaka Gileadi, hakukuwa na mji wowote uliokuwa juu sana kwetu.+ Yehova Mungu wetu aliitia yote mkononi mwetu. 37 Ila wewe hukwenda karibu na nchi ya wana wa Amoni,+ ukingo mzima wa bonde la mto la Yaboki,+ wala majiji ya eneo lenye milima, wala kitu chochote ambacho juu yake Yehova Mungu wetu alikuwa ametoa amri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki