Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Kumbukumbu la Torati 3:1

Marejeo

  • +Hes 21:33; Kum 29:7; Yos 9:10; Ne 9:22
  • +Yos 12:4; 13:12

Kumbukumbu la Torati 3:2

Marejeo

  • +Hes 14:9; 21:34; Kum 20:3
  • +Hes 21:24

Kumbukumbu la Torati 3:3

Marejeo

  • +Hes 21:35; Yos 13:12

Kumbukumbu la Torati 3:4

Marejeo

  • +Hes 32:33; Yos 13:30
  • +1Fa 4:13
  • +Kum 29:8

Kumbukumbu la Torati 3:6

Marejeo

  • +Law 27:29
  • +Law 18:25; Kum 2:34; Eze 9:6

Kumbukumbu la Torati 3:7

Marejeo

  • +Kum 2:35; Yos 8:27

Kumbukumbu la Torati 3:8

Marejeo

  • +Hes 32:33
  • +Yos 12:2; 13:9
  • +Yos 11:3; Wim 4:8

Kumbukumbu la Torati 3:9

Marejeo

  • +Zb 29:6
  • +1Nya 5:23; Eze 27:5

Kumbukumbu la Torati 3:10

Marejeo

  • +Yos 12:5; 13:11
  • +Hes 21:33; Yos 13:12

Kumbukumbu la Torati 3:11

Marejeo

  • +Mwa 14:5
  • +2Sa 12:26; Yer 49:2

Kumbukumbu la Torati 3:12

Marejeo

  • +Hes 32:34; Kum 4:48; Yos 12:2
  • +Hes 32:33

Kumbukumbu la Torati 3:13

Marejeo

  • +Mwa 31:21; Hes 32:39; Yos 13:31; Amu 10:4
  • +Yos 13:30; 1Nya 5:23
  • +1Fa 4:13
  • +Mwa 15:20

Kumbukumbu la Torati 3:14

Marejeo

  • +1Nya 2:22
  • +Kum 3:4
  • +Yos 13:13; 2Sa 3:3
  • +Yos 12:5
  • +Hes 32:41

Kumbukumbu la Torati 3:15

Marejeo

  • +Mwa 50:23; Yos 17:1
  • +Hes 32:39

Kumbukumbu la Torati 3:16

Marejeo

  • +Hes 32:33
  • +Kum 3:8; Yos 22:9
  • +Hes 21:24; Yos 12:2

Kumbukumbu la Torati 3:17

Marejeo

  • +Hes 34:11
  • +Mwa 14:3; Hes 34:12; Yos 12:3
  • +Kum 34:1

Kumbukumbu la Torati 3:18

Marejeo

  • +Hes 32:20

Kumbukumbu la Torati 3:19

Marejeo

  • +Yos 1:14

Kumbukumbu la Torati 3:20

Marejeo

  • +Yos 1:15; 22:4, 8

Kumbukumbu la Torati 3:21

Marejeo

  • +Hes 11:28; 14:30; 27:18
  • +Yos 10:25

Kumbukumbu la Torati 3:22

Marejeo

  • +Kut 14:14; 15:3; Hes 21:34; Kum 1:30; 20:4; Yos 10:42

Kumbukumbu la Torati 3:24

Marejeo

  • +Kut 34:6; Kum 11:2; Zb 145:3; Yer 32:18
  • +Kut 15:16; Zb 44:3
  • +Kut 15:11; 2Sa 7:22; 1Fa 8:23; Zb 71:19; 86:8; Yer 10:6; 49:19

Kumbukumbu la Torati 3:25

Marejeo

  • +Kut 3:8; Kum 4:22; 11:12; Eze 20:6
  • +Kum 1:7
  • +Yos 13:5; 1Fa 9:19

Kumbukumbu la Torati 3:26

Marejeo

  • +Hes 20:12; 27:14; Kum 31:2; Zb 106:32

Kumbukumbu la Torati 3:27

Marejeo

  • +Hes 21:20; 27:12; Kum 34:1
  • +Kum 34:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Marejeo ya Daftari la Huduma na Maisha, 2/2020, uku. 1

Kumbukumbu la Torati 3:28

Marejeo

  • +Hes 27:19; Kum 1:38; 31:7
  • +Yos 1:2; Mdo 7:45
  • +Yos 3:7

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Marejeo ya Daftari la Huduma na Maisha, 2/2020, uku. 1

Kumbukumbu la Torati 3:29

Marejeo

  • +Kum 4:46; 34:6; Yos 13:20

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Kum. 3:1Hes 21:33; Kum 29:7; Yos 9:10; Ne 9:22
Kum. 3:1Yos 12:4; 13:12
Kum. 3:2Hes 14:9; 21:34; Kum 20:3
Kum. 3:2Hes 21:24
Kum. 3:3Hes 21:35; Yos 13:12
Kum. 3:4Hes 32:33; Yos 13:30
Kum. 3:41Fa 4:13
Kum. 3:4Kum 29:8
Kum. 3:6Law 27:29
Kum. 3:6Law 18:25; Kum 2:34; Eze 9:6
Kum. 3:7Kum 2:35; Yos 8:27
Kum. 3:8Hes 32:33
Kum. 3:8Yos 12:2; 13:9
Kum. 3:8Yos 11:3; Wim 4:8
Kum. 3:9Zb 29:6
Kum. 3:91Nya 5:23; Eze 27:5
Kum. 3:10Yos 12:5; 13:11
Kum. 3:10Hes 21:33; Yos 13:12
Kum. 3:11Mwa 14:5
Kum. 3:112Sa 12:26; Yer 49:2
Kum. 3:12Hes 32:34; Kum 4:48; Yos 12:2
Kum. 3:12Hes 32:33
Kum. 3:13Mwa 31:21; Hes 32:39; Yos 13:31; Amu 10:4
Kum. 3:13Yos 13:30; 1Nya 5:23
Kum. 3:131Fa 4:13
Kum. 3:13Mwa 15:20
Kum. 3:141Nya 2:22
Kum. 3:14Kum 3:4
Kum. 3:14Yos 13:13; 2Sa 3:3
Kum. 3:14Yos 12:5
Kum. 3:14Hes 32:41
Kum. 3:15Mwa 50:23; Yos 17:1
Kum. 3:15Hes 32:39
Kum. 3:16Hes 32:33
Kum. 3:16Kum 3:8; Yos 22:9
Kum. 3:16Hes 21:24; Yos 12:2
Kum. 3:17Hes 34:11
Kum. 3:17Mwa 14:3; Hes 34:12; Yos 12:3
Kum. 3:17Kum 34:1
Kum. 3:18Hes 32:20
Kum. 3:19Yos 1:14
Kum. 3:20Yos 1:15; 22:4, 8
Kum. 3:21Hes 11:28; 14:30; 27:18
Kum. 3:21Yos 10:25
Kum. 3:22Kut 14:14; 15:3; Hes 21:34; Kum 1:30; 20:4; Yos 10:42
Kum. 3:24Kut 34:6; Kum 11:2; Zb 145:3; Yer 32:18
Kum. 3:24Kut 15:16; Zb 44:3
Kum. 3:24Kut 15:11; 2Sa 7:22; 1Fa 8:23; Zb 71:19; 86:8; Yer 10:6; 49:19
Kum. 3:25Kut 3:8; Kum 4:22; 11:12; Eze 20:6
Kum. 3:25Kum 1:7
Kum. 3:25Yos 13:5; 1Fa 9:19
Kum. 3:26Hes 20:12; 27:14; Kum 31:2; Zb 106:32
Kum. 3:27Hes 21:20; 27:12; Kum 34:1
Kum. 3:27Kum 34:4
Kum. 3:28Hes 27:19; Kum 1:38; 31:7
Kum. 3:28Yos 1:2; Mdo 7:45
Kum. 3:28Yos 3:7
Kum. 3:29Kum 4:46; 34:6; Yos 13:20
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Kumbukumbu la Torati 3:1-29

Kumbukumbu la Torati

3 “Kisha tukageuka na kupanda kupitia njia ya Bashani. Ndipo Ogu+ mfalme wa Bashani akatoka nje, yeye na watu wake wote, ili kukutana nasi katika pigano huko Edrei.+ 2 Basi Yehova akaniambia, ‘Usimwogope,+ kwa maana nitamtia yeye na watu wake wote na nchi yake mkononi mwako; nawe utamtendea kama vile ulivyomtendea Sihoni+ mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa kule Heshboni.’ 3 Basi Yehova Mungu wetu akamtia mkononi mwetu pia Ogu mfalme wa Bashani pamoja na watu wake wote, nasi tukaendelea kumpiga mpaka akawa hana mwokokaji aliyebaki.+ 4 Nasi tukateka majiji yake yote wakati huo. Hakukuwa na mji wowote ambao hatukuuchukua kutoka kwao, majiji 60,+ eneo lote la Argobu,+ ufalme wa Ogu katika Bashani.+ 5 Majiji yote hayo yalikuwa yametiwa ngome ya ukuta mrefu, milango na mapingo, mbali na miji mingi sana ya mashambani. 6 Hata hivyo, tuliwaangamiza,+ kama vile tulivyomtendea Sihoni mfalme wa Heshboni, kwa kuangamiza kila jiji, mwanamume, mwanamke na watoto wadogo.+ 7 Na wanyama wote wa kufugwa na nyara za majiji tukachukua kuwa nyara kwa ajili yetu wenyewe.+

8 “Nasi tukaendelea kuchukua wakati huo ile nchi kutoka mkononi mwa wale wafalme wawili wa Waamori+ waliokuwa katika eneo la Yordani, kutoka katika bonde la mto la Arnoni+ mpaka Mlima Hermoni;+ 9 (Wasidoni walikuwa wakiuita Hermoni Sirioni,+ nao Waamori walikuwa wakiuita Seniri,)+ 10 majiji yote ya nchi tambarare ya juu na Gileadi yote na Bashani yote mpaka Saleka+ na Edrei,+ majiji ya ufalme wa Ogu katika Bashani. 11 Kwa maana Ogu mfalme wa Bashani ndiye tu aliyebaki kati ya mabaki ya Warefaimu.+ Tazama! Sanduku lake lilikuwa sanduku la chuma. Je, haliko kule Raba+ kwa wana wa Amoni? Urefu wake ni mikono tisa, na upana wake ni mikono minne, kwa mkono wa mwanadamu. 12 Nasi tukaitwaa nchi hii wakati huo; kutoka Aroeri,+ kando ya bonde la Arnoni, na nusu ya eneo lenye milima la Gileadi, na majiji yake nimewapa Warubeni na Wagadi.+ 13 Na ile Gileadi+ nyingine na Bashani+ yote ya ufalme wa Ogu nimewapa nusu ya kabila la Manase. Eneo lote la Argobu+ la Bashani yote, je, haliitwi nchi ya Warefaimu?+

14 “Yairi+ mwana wa Manase alichukua eneo lote la Argobu+ hadi mpaka wa Wageshuri+ na Wamaakathi,+ naye akaviita vijiji hivyo vya Bashani kwa jina lake mwenyewe, Hawoth-yairi,+ mpaka leo hii. 15 Na Makiri+ nimempa Gileadi.+ 16 Na Warubeni+ na Wagadi nimewapa kutoka Gileadi+ hadi kwenye bonde la mto la Arnoni, mpaka ukiwa ni katikati ya lile bonde la mto, hadi Yaboki, lile bonde la mto lililo mpakani mwa wana wa Amoni;+ 17 na Araba na Yordani na ule mpaka, kutoka Kinerethi+ hadi bahari ya Araba, Bahari ya Chumvi,+ chini ya mteremko wa Pisga+ kuelekea mashariki.

18 “Basi nikawaamuru ninyi wakati huo, na kusema, ‘Yehova Mungu wenu amewapa nchi hii mpate kuimiliki. Mtavuka, mkiwa tayari na silaha, mbele ya ndugu zenu, wana wa Israeli, wanaume wote mashujaa.+ 19 Ila wake zenu na watoto wenu na mifugo yenu (najua kwamba mna kiasi kikubwa cha mifugo) wataendelea kukaa katika majiji yenu ambayo nimewapa ninyi,+ 20 mpaka Yehova atakapowapa ndugu zenu pumziko, kama ninyi, nao pia wawe wamemiliki nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa ng’ambo ya Yordani; ndipo mtakaporudi, kila mmoja kwenda kwenye miliki yake ambayo nimewapa ninyi.’+

21 “Nami nikamwamuru Yoshua+ wakati huo, na kusema, ‘Macho yako yanaona yote ambayo Yehova Mungu wako amewafanyia wafalme hao wawili. Hivyo ndivyo Yehova atakavyozifanyia falme zote ambazo mnavuka kuziendea huko.+ 22 Msiwaogope, kwa maana Yehova Mungu wenu Ndiye anayewapigania ninyi.’+

23 “Nami nikamwomba Yehova kibali wakati huo, na kusema, 24 ‘Ee Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova, wewe mwenyewe umeanza kumfanya mtumishi wako aone ukuu+ wako na mkono wako wenye nguvu,+ kwa maana ni nani aliye mungu mbinguni au duniani ambaye hutenda matendo kama yako na utendaji wenye nguvu kama wako?+ 25 Acha nivuke, tafadhali, niione hiyo nchi nzuri+ iliyo ng’ambo ya Yordani, eneo hilo zuri lenye milima+ na Lebanoni.’+ 26 Na Yehova akaendelea kuwa na ghadhabu juu yangu kwa sababu yenu+ wala hakunisikiliza; lakini Yehova aliniambia, ‘Imetosha! Usiseme nami tena kamwe juu ya jambo hili. 27 Panda juu ya Pisga,+ uinue macho yako kuelekea magharibi na kaskazini na kusini na mashariki, uone kwa macho yako, kwa maana wewe hutavuka huu mto Yordani.+ 28 Nawe umpe Yoshua utume+ na kumtia moyo na kumwimarisha, kwa maana yeye ndiye atakayevuka+ mbele ya watu hawa naye ndiye atakayewafanya warithi nchi utakayoiona.’+ 29 Wakati wote huo tulikuwa tukikaa katika lile bonde mbele ya Beth-peori.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki