Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Nasi tukaendelea kuchukua wakati huo ile nchi kutoka mkononi mwa wale wafalme wawili wa Waamori+ waliokuwa katika eneo la Yordani, kutoka katika bonde la mto la Arnoni+ mpaka Mlima Hermoni;+

  • Yoshua 22:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Kisha wana wa Rubeni na wana wa Gadi na nusu ya kabila la Manase wakarudi na kwenda zao kutoka kwa wale wana wengine wa Israeli, kutoka Shilo, lililo katika nchi ya Kanaani, ili waende katika nchi ya Gileadi,+ katika nchi ya miliki yao ambamo walikuwa wamepewa makao kwa agizo la Yehova kupitia Musa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki