Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 23:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Na Balaamu akamwambia Balaki: “Simama kando ya toleo lako la kuteketezwa,+ nami niende. Labda Yehova atawasiliana nami na kukutana nami.+ Ndipo lolote atakalonionyesha, hakika nitakuambia.” Basi akaenda kwenye kilima kilicho wazi.

  • Hesabu 23:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kisha akamwambia Balaki: “Simama hapa kando ya toleo lako la kuteketezwa, na mimi nami acha niwasiliane naye pale.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki