Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 30:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Lakini ikiwa baba yake amemkataza katika siku ya kusikia kwake nadhiri zake zote au nadhiri zake za kujiepusha ambazo amefunga juu ya nafsi yake, haitasimama, bali Yehova atamsamehe, kwa sababu baba yake alimkataza.+

  • Hesabu 30:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Lakini ikiwa mume wake atamkataza katika siku ya kusikia kwake,+ yeye pia ameifuta nadhiri yake iliyokuwa juu yake au ile ahadi ya midomo yake, iliyotolewa bila kufikiri, ambayo aliifunga juu ya nafsi yake, na Yehova atamsamehe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki