Kutoka 27:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 “Nawe utafanya madhabahu ya mbao za mshita, mikono mitano urefu wake na mikono mitano upana wake. Madhabahu+ hiyo itakuwa mraba, na kimo chake kitakuwa mikono mitatu. Kutoka 30:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 “Nawe utafanya madhabahu iwe mahali pa kufukizia uvumba;+ utaifanya kwa mbao za mshita.
27 “Nawe utafanya madhabahu ya mbao za mshita, mikono mitano urefu wake na mikono mitano upana wake. Madhabahu+ hiyo itakuwa mraba, na kimo chake kitakuwa mikono mitatu.