Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 19:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Baada ya muda yule mzaliwa wa kwanza akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu.+ Yeye ndiye baba ya Moabu, mpaka leo hii.+

  • Hesabu 21:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kisha wakaondoka Obothi na kupiga kambi Iye-abarimu,+ katika nyika inayoelekea upande wa mbele wa Moabu, kuelekea mashariki.

  • Hesabu 21:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Kutoka huko wakasafiri na kupiga kambi katika eneo la Arnoni,+ lililo katika nyika inayosambaa kutoka katika mpaka wa Waamori; kwa maana Arnoni ni mpaka wa Moabu, kati ya Moabu na Waamori.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki