-
Kutoka 26:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Nawe utaliweka juu ya nguzo nne za mshita zilizofunikwa kwa dhahabu. Misumari yake itakuwa ya dhahabu. Zinakaa juu ya vikalio vinne vya fedha.
-
-
Kutoka 26:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Nawe utakifanyizia kile kisitiri nguzo tano za mshita na kuzifunika kwa dhahabu. Vibanio vyake vitakuwa vya dhahabu. Nawe utavitengenezea vikalio vitano vya shaba.
-