Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 22:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Ndipo wana wa Israeli wakaondoka na kupiga kambi kwenye nchi tambarare za jangwa la Moabu+ ng’ambo ya Yordani kutoka Yeriko.

  • Hesabu 31:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Nao wakamletea Musa na Eleazari kuhani na kusanyiko la wana wa Israeli mateka na nyara na vitu vilivyoporwa, mpaka kambini, mpaka nchi tambarare za jangwa la Moabu,+ kando ya Yordani huko Yeriko.

  • Hesabu 36:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Hizi ndizo amri+ na maamuzi ya hukumu ambayo Yehova aliwaamuru wana wa Israeli kupitia Musa, katika nchi tambarare za jangwa la Moabu kando ya Yordani, huko Yeriko.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki