Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 3:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 “Mimi nami, tazama! nawachukua Walawi kutoka katikati ya wana wa Israeli badala ya wazaliwa wa kwanza+ wote wanaofungua tumbo la uzazi la wana wa Israeli; nao Walawi watakuwa wangu.

  • Hesabu 8:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Kwa maana wao ni watu waliokabidhiwa, niliokabidhiwa mimi kati ya wana wa Israeli.+ Badala ya wale wote wanaofungua tumbo la uzazi, wazaliwa wote wa kwanza kati ya wana wa Israeli,+ nitawachukua kwa ajili yangu mwenyewe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki