-
Mambo ya Walawi 16:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Na yule aliyewateketeza atayafua mavazi yake, naye ataoga mwili wake katika maji, kisha anaweza kuingia kambini.
-
-
Hesabu 19:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Naye kuhani atayafua mavazi yake na kuoga mwili wake katika maji, na baadaye anaweza kuingia kambini; lakini yule kuhani atakuwa si safi mpaka jioni.
-