Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 3:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Nami ninashuka ili kuwakomboa kutoka katika mkono wa Wamisri+ na kuwatoa katika nchi hiyo mpaka kwenye nchi nzuri na kubwa, nchi inayotiririka maziwa na asali,+ kwa Wakanaani na Wahiti na Waamori na Waperizi na Wahivi na Wayebusi.+

  • Kumbukumbu la Torati 8:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kwa maana Yehova Mungu wako anakuleta katika nchi nzuri,+ nchi yenye mabonde ya mito yenye maji, mabubujiko na vilindi vya maji kutoka katika nchi tambarare ya bonde+ na katika eneo lenye milima,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki