Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 6:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 na makuhani saba waliochukua pembe saba za kondoo-dume mbele ya sanduku la Yehova walikuwa wanatembea, wakizipiga pembe kwa mfululizo, na kile kikosi kilichotayarishwa kwa ajili ya vita kilikuwa kinatembea mbele yao, huku kile kikosi cha nyuma kikifuata sanduku la Yehova nazo pembe zilikuwa zikipigwa kwa mfululizo.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 15:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Kwa hiyo akaenda mbele ya Asa na kumwambia: “Mnisikilize mimi, Ee Asa na Yuda wote na Benyamini! Yehova yuko pamoja nanyi ikiwa ninyi mko pamoja naye;+ nanyi mkimtafuta,+ atawaruhusu mumpate, lakini mkimwacha yeye atawaacha ninyi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki