Kumbukumbu la Torati 20:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Na ni nani ambaye amemchumbia mwanamke naye hajamchukua? Na aende na kurudi nyumbani kwake,+ asije akafa vitani na mwanamume mwingine amchukue mwanamke huyo.’ Luka 14:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Na bado mwingine akasema, ‘Nimeoa+ mke sasa hivi na kwa hiyo siwezi kuja.’
7 Na ni nani ambaye amemchumbia mwanamke naye hajamchukua? Na aende na kurudi nyumbani kwake,+ asije akafa vitani na mwanamume mwingine amchukue mwanamke huyo.’