Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 20
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Kumbukumbu la Torati 20:1

Marejeo

  • +Yos 11:4
  • +Kum 3:22; 31:6; Zb 20:7; 46:7; Met 21:31; Ro 8:31
  • +Kut 13:3

Kumbukumbu la Torati 20:2

Marejeo

  • +Hes 31:6; Amu 20:28; 1Sa 30:7; 2Nya 13:12

Kumbukumbu la Torati 20:3

Marejeo

  • +Zb 27:3; Isa 35:4; 41:10
  • +Zb 3:6

Kumbukumbu la Torati 20:4

Marejeo

  • +Kut 14:14; Kum 32:30; Yos 23:10

Kumbukumbu la Torati 20:5

Marejeo

  • +Hes 31:14; Kum 16:18
  • +Mhu 2:24

Kumbukumbu la Torati 20:6

Marejeo

  • +Zb 145:9; Mhu 3:13

Kumbukumbu la Torati 20:7

Marejeo

  • +Kum 24:5

Kumbukumbu la Torati 20:8

Marejeo

  • +Amu 7:3
  • +Hes 13:33; 14:1; 32:9; Kum 1:28; Mdo 21:13

Kumbukumbu la Torati 20:10

Marejeo

  • +Yos 11:19

Kumbukumbu la Torati 20:11

Marejeo

  • +Law 25:46; Kum 20:15; Yos 9:22, 27

Kumbukumbu la Torati 20:12

Marejeo

  • +Zb 120:7

Kumbukumbu la Torati 20:13

Marejeo

  • +Hes 31:7

Kumbukumbu la Torati 20:14

Marejeo

  • +Hes 31:12, 27; 2Nya 14:13; Zb 68:12
  • +Hes 31:9, 18
  • +Yos 8:2
  • +Yos 22:8

Kumbukumbu la Torati 20:16

Marejeo

  • +Yos 6:17; 10:28; 11:11

Kumbukumbu la Torati 20:17

Marejeo

  • +Kum 7:1

Kumbukumbu la Torati 20:18

Marejeo

  • +Kut 34:15; Kum 7:4; Yos 23:12; Zb 106:35; Isa 2:6; 1Ko 5:6; 15:33

Kumbukumbu la Torati 20:19

Marejeo

  • +Ne 9:25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mkaribie Yehova, uku. 135

  • Fahirishi ya Machapisho

    cl 135

Kumbukumbu la Torati 20:20

Marejeo

  • +2Nya 26:15; Mhu 9:14; Isa 37:33; Yer 6:6; Eze 17:17

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Kum. 20:1Yos 11:4
Kum. 20:1Kum 3:22; 31:6; Zb 20:7; 46:7; Met 21:31; Ro 8:31
Kum. 20:1Kut 13:3
Kum. 20:2Hes 31:6; Amu 20:28; 1Sa 30:7; 2Nya 13:12
Kum. 20:3Zb 27:3; Isa 35:4; 41:10
Kum. 20:3Zb 3:6
Kum. 20:4Kut 14:14; Kum 32:30; Yos 23:10
Kum. 20:5Hes 31:14; Kum 16:18
Kum. 20:5Mhu 2:24
Kum. 20:6Zb 145:9; Mhu 3:13
Kum. 20:7Kum 24:5
Kum. 20:8Amu 7:3
Kum. 20:8Hes 13:33; 14:1; 32:9; Kum 1:28; Mdo 21:13
Kum. 20:10Yos 11:19
Kum. 20:11Law 25:46; Kum 20:15; Yos 9:22, 27
Kum. 20:12Zb 120:7
Kum. 20:13Hes 31:7
Kum. 20:14Hes 31:12, 27; 2Nya 14:13; Zb 68:12
Kum. 20:14Hes 31:9, 18
Kum. 20:14Yos 8:2
Kum. 20:14Yos 22:8
Kum. 20:16Yos 6:17; 10:28; 11:11
Kum. 20:17Kum 7:1
Kum. 20:18Kut 34:15; Kum 7:4; Yos 23:12; Zb 106:35; Isa 2:6; 1Ko 5:6; 15:33
Kum. 20:19Ne 9:25
Kum. 20:202Nya 26:15; Mhu 9:14; Isa 37:33; Yer 6:6; Eze 17:17
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Kumbukumbu la Torati 20:1-20

Kumbukumbu la Torati

20 “Ikiwa utaenda katika pigano juu ya adui zako nawe uone farasi na magari ya vita,+ watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa maana Yehova Mungu wako yuko pamoja nawe,+ aliyekutoa katika nchi ya Misri.+ 2 Na itatukia kwamba mtakapokuwa mmekaribia pigano, ndipo kuhani atakapokaribia na kusema na watu.+ 3 Naye atawaambia, ‘Sikieni, Ee Israeli, mnakaribia leo kupigana na adui zenu. Msiache mioyo yenu iogope.+ Msiogope na kukimbia kwa wasiwasi au kutetemeka kwa sababu yao,+ 4 kwa maana Yehova Mungu wenu anapiga mwendo pamoja nanyi ili kupigana kwa ajili yenu juu ya adui zenu apate kuwaokoa ninyi.’+

5 “Maofisa+ pia watasema na watu, na kuwaambia, ‘Ni nani ambaye amejenga nyumba mpya naye hajaizindua? Na aende na kurudi nyumbani kwake, asije akafa vitani na mwanamume mwingine aizindue.+ 6 Na ni nani ambaye amepanda shamba la mizabibu naye hajaanza kutumia matunda yake? Na aende na kurudi nyumbani kwake, asije akafa vitani na mwanamume mwingine akaanza kutumia matunda yake.+ 7 Na ni nani ambaye amemchumbia mwanamke naye hajamchukua? Na aende na kurudi nyumbani kwake,+ asije akafa vitani na mwanamume mwingine amchukue mwanamke huyo.’ 8 Nao maofisa watazidi kusema na watu na kuwaambia, ‘Ni nani mwoga na mwenye moyo dhaifu?+ Na aende na kurudi nyumbani kwake, asije akasababisha mioyo ya ndugu zake iyeyuke kama moyo wake mwenyewe.’+ 9 Na itatukia kwamba wakati ambapo maofisa hao watakuwa wamemaliza kusema na watu, ndipo watakapoweka pia wakuu wa majeshi mbele ya watu.

10 “Ikiwa utakaribia jiji ili kupigana nalo, utalitangazia pia masharti ya amani.+ 11 Na itatukia kwamba ikiwa litakutolea jibu la amani nalo limekufungulia, itatukia pia kwamba watu wote watakaopatikana ndani yake watakuwa wako kwa ajili ya kazi ya kulazimishwa, nao watakutumikia.+ 12 Lakini lisipofanya amani pamoja nawe,+ nalo lifanye vita pamoja nawe, nawe ulazimike kulizingira, 13 Yehova Mungu wako hakika atalitia mkononi mwako, nawe utampiga kila mwanamume aliye ndani yake kwa makali ya upanga.+ 14 Utapora kwa ajili yako+ wanawake tu na watoto wadogo+ na wanyama wa kufugwa+ na kila kitu kitakachokuwa jijini, nyara zake zote; nawe utakula nyara za adui zako, ambao Yehova Mungu wako amekupa wewe.+

15 “Hivyo ndivyo utakavyoyafanyia majiji yote yaliyo mbali sana nawe ambayo si majiji ya mataifa haya. 16 Ni katika majiji ya watu hawa tu ambayo Yehova anakupa yawe urithi ambayo hutaacha hai chochote kinachopumua,+ 17 kwa sababu lazima utawaangamiza, Wahiti na Waamori, Wakanaani na Waperizi, Wahivi na Wayebusi,+ kama vile ambavyo Yehova Mungu wako amekuamuru; 18 ili wasiwafundishe kulingana na machukizo yao yote, ambayo wameifanyia miungu yao, nanyi mumtendee dhambi Yehova Mungu wenu.+

19 “Ikiwa utazingira jiji siku nyingi kwa kupigana nalo ili kuliteka, usiharibu miti yake kwa kutumia shoka juu yake; kwa maana utakula kutokana nayo, nawe usiikate na kuiangusha,+ kwani mti wa shamba je, ni mtu ndipo uuzingire? 20 Ila mti ambao wewe unajua kwamba si mti wa chakula, huo ndio unaopaswa kuharibu, nawe utaukata na kujenga mazingiwa+ juu ya jiji linalofanya vita nawe, mpaka lianguke.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki