Kumbukumbu la Torati 20:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 “Mkilizingira jiji na kuliteka baada ya kupigana nalo kwa siku nyingi, hampaswi kuharibu miti yake kwa kuikata ovyoovyo kwa shoka. Mnaweza kula matunda yake, lakini hampaswi kuikata.+ Je, mnapaswa kuushambulia mti kama mnavyomshambulia mwanadamu? Kumbukumbu la Torati Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 20:19 cl 135 Kumbukumbu la Torati Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 20:19 Mkaribie Yehova, uku. 135
19 “Mkilizingira jiji na kuliteka baada ya kupigana nalo kwa siku nyingi, hampaswi kuharibu miti yake kwa kuikata ovyoovyo kwa shoka. Mnaweza kula matunda yake, lakini hampaswi kuikata.+ Je, mnapaswa kuushambulia mti kama mnavyomshambulia mwanadamu?