Kumbukumbu la Torati 20:19 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 19 “Ikiwa utazingira jiji siku nyingi kwa kupigana nalo ili kuliteka, usiharibu miti yake kwa kutumia shoka juu yake; kwa maana utakula kutokana nayo, nawe usiikate na kuiangusha,+ kwani mti wa shamba je, ni mtu ndipo uuzingire? Kumbukumbu la Torati Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 20:19 cl 135 Kumbukumbu la Torati Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 20:19 Mkaribie Yehova, uku. 135
19 “Ikiwa utazingira jiji siku nyingi kwa kupigana nalo ili kuliteka, usiharibu miti yake kwa kutumia shoka juu yake; kwa maana utakula kutokana nayo, nawe usiikate na kuiangusha,+ kwani mti wa shamba je, ni mtu ndipo uuzingire?