Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 19
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Kumbukumbu la Torati 19:1

Marejeo

  • +Kut 34:24; Yos 24:8
  • +Kum 6:10; 7:1; 9:1; 12:29

Kumbukumbu la Torati 19:2

Marejeo

  • +Kut 21:13; Hes 35:14; Yos 20:7

Kumbukumbu la Torati 19:3

Marejeo

  • +Yos 20:9

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    11/2017, uku. 14

Kumbukumbu la Torati 19:4

Marejeo

  • +Hes 35:15; Kum 4:42

Kumbukumbu la Torati 19:5

Marejeo

  • +2Fa 6:5
  • +Hes 35:25

Kumbukumbu la Torati 19:6

Marejeo

  • +Hes 35:12, 19; Yos 20:5; 2Sa 14:7
  • +Kum 17:8; Yos 20:4; 2Nya 19:10

Kumbukumbu la Torati 19:7

Marejeo

  • +Kum 19:2

Kumbukumbu la Torati 19:8

Marejeo

  • +Mwa 15:18; Kut 23:31; Kum 11:24
  • +Mwa 28:14; Kum 12:20

Kumbukumbu la Torati 19:9

Marejeo

  • +Kum 11:22; 12:32; 1Yo 5:3
  • +Yos 20:8

Kumbukumbu la Torati 19:10

Marejeo

  • +Kum 21:9; 2Fa 21:16; Met 6:17; Yer 7:6; Yon 1:14; Mt 27:4
  • +Zb 5:6; 55:23; Mdo 20:26

Kumbukumbu la Torati 19:11

Marejeo

  • +Mt 15:19; 1Yo 3:15
  • +Kut 21:12; Hes 35:16; Kum 27:24

Kumbukumbu la Torati 19:12

Marejeo

  • +Mwa 9:6; 1Fa 2:5, 31

Kumbukumbu la Torati 19:13

Marejeo

  • +Kum 19:21
  • +Law 24:17, 21; Hes 35:33; Kum 21:9; 2Sa 21:1

Kumbukumbu la Torati 19:14

Marejeo

  • +Kum 27:17; Ayu 24:2; Met 23:10

Kumbukumbu la Torati 19:15

Marejeo

  • +Hes 35:30; Kum 17:6
  • +1Fa 21:10; Mt 18:16; 26:60; Yoh 8:17; 2Ko 13:1; 1Ti 5:19; Ebr 10:28

Kumbukumbu la Torati 19:16

Marejeo

  • +Kut 23:1; 1Fa 21:13; Zb 27:12; Mk 14:56

Kumbukumbu la Torati 19:17

Marejeo

  • +Kum 17:9; 21:5

Kumbukumbu la Torati 19:18

Marejeo

  • +Kum 13:14; 17:4; 2Nya 19:6; Ayu 29:16

Kumbukumbu la Torati 19:19

Marejeo

  • +Met 19:5; Da 6:24
  • +Kum 21:21; 24:7; 1Ko 5:13

Kumbukumbu la Torati 19:20

Marejeo

  • +Kum 13:11; 17:13; 1Ti 5:20

Kumbukumbu la Torati 19:21

Marejeo

  • +Kum 19:13
  • +Kut 21:23; Law 24:20; Mt 5:38

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Maswali ya Biblia Yajibiwa, makala 149

    Mkaribie Yehova, kur. 131-133

    Ulimwengu Usio na Vita, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    cl 131, 133

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Kum. 19:1Kut 34:24; Yos 24:8
Kum. 19:1Kum 6:10; 7:1; 9:1; 12:29
Kum. 19:2Kut 21:13; Hes 35:14; Yos 20:7
Kum. 19:3Yos 20:9
Kum. 19:4Hes 35:15; Kum 4:42
Kum. 19:52Fa 6:5
Kum. 19:5Hes 35:25
Kum. 19:6Hes 35:12, 19; Yos 20:5; 2Sa 14:7
Kum. 19:6Kum 17:8; Yos 20:4; 2Nya 19:10
Kum. 19:7Kum 19:2
Kum. 19:8Mwa 15:18; Kut 23:31; Kum 11:24
Kum. 19:8Mwa 28:14; Kum 12:20
Kum. 19:9Kum 11:22; 12:32; 1Yo 5:3
Kum. 19:9Yos 20:8
Kum. 19:10Kum 21:9; 2Fa 21:16; Met 6:17; Yer 7:6; Yon 1:14; Mt 27:4
Kum. 19:10Zb 5:6; 55:23; Mdo 20:26
Kum. 19:11Mt 15:19; 1Yo 3:15
Kum. 19:11Kut 21:12; Hes 35:16; Kum 27:24
Kum. 19:12Mwa 9:6; 1Fa 2:5, 31
Kum. 19:13Kum 19:21
Kum. 19:13Law 24:17, 21; Hes 35:33; Kum 21:9; 2Sa 21:1
Kum. 19:14Kum 27:17; Ayu 24:2; Met 23:10
Kum. 19:15Hes 35:30; Kum 17:6
Kum. 19:151Fa 21:10; Mt 18:16; 26:60; Yoh 8:17; 2Ko 13:1; 1Ti 5:19; Ebr 10:28
Kum. 19:16Kut 23:1; 1Fa 21:13; Zb 27:12; Mk 14:56
Kum. 19:17Kum 17:9; 21:5
Kum. 19:18Kum 13:14; 17:4; 2Nya 19:6; Ayu 29:16
Kum. 19:19Met 19:5; Da 6:24
Kum. 19:19Kum 21:21; 24:7; 1Ko 5:13
Kum. 19:20Kum 13:11; 17:13; 1Ti 5:20
Kum. 19:21Kum 19:13
Kum. 19:21Kut 21:23; Law 24:20; Mt 5:38
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Kumbukumbu la Torati 19:1-21

Kumbukumbu la Torati

19 “Yehova Mungu wako atakapokatilia mbali mataifa+ ambayo nchi yao Yehova Mungu wako anakupa wewe, nawe uwe umewafukuza na kukaa katika majiji yao na nyumba zao,+ 2 utatenga majiji matatu kwa ajili yako katikati ya nchi yako ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe uimiliki.+ 3 Utajitayarishia njia, nawe utagawa katika sehemu tatu lile eneo la nchi yako ambayo Yehova Mungu wako alikupa wewe iwe mali yako, nayo itakuwa kwa ajili ya muuaji yeyote, akimbilie humo.+

4 “Sasa hii ndiyo hukumu ya muuaji atakayekimbilia humo na ambaye ataishi: Anapompiga na kumuua mwenzake bila kujua naye hakuwa akimchukia hapo kwanza;+ 5 au anapoenda na mwenzake msituni kukusanya kuni, na mkono wake umeinuliwa ili kugonga kwa shoka ili kuukata mti, nacho chuma kiwe kimechomoka kutoka katika mpini wa mbao,+ na kiwe kimemgonga mwenzake naye akafa, yeye mwenyewe atakimbilia moja la majiji hayo naye ataishi.+ 6 Kama sivyo mlipiza-kisasi+ cha damu, kwa sababu moyo wake una moto, anaweza kumfuatilia muuaji, amfikie, kwa kuwa njia ni ndefu; naye anaweza kuipiga nafsi yake na kuiua, ingawa hakuna hukumu ya kifo+ kwa ajili yake, kwa sababu hakuwa akimchukia hapo kwanza. 7 Ndiyo sababu ninakuamuru wewe, na kusema, ‘Utajitengea majiji matatu.’+

8 “Na ikiwa Yehova Mungu wako atalipanua eneo lako kulingana na jambo alilowaapia mababu zako,+ naye amekupa wewe nchi yote aliyoahidi kuwapa mababu zako,+ 9 kwa sababu utaishika amri yote hii ninayokuamuru wewe leo kwa kuifanya, kumpenda Yehova Mungu wako na kutembea katika njia zake sikuzote,+ basi utajiongezea majiji mengine matatu kwa majiji haya matatu,+ 10 ili damu isiyo na hatia+ isimwagwe katikati ya nchi yako ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe iwe urithi, na hatia yoyote ya damu isiwe juu yako.+

11 “Lakini ikiwa kutakuwako mtu anayemchukia+ mwenzake, naye amemvizia, akainuka juu yake, akaipiga nafsi yake na kuiua naye amekufa,+ na mtu huyo amekimbilia moja la majiji hayo, 12 ndipo wanaume wazee wa jiji lake watatuma watu na kumchukua kutoka humo, nao watamtia mkononi mwa mlipiza-kisasi cha damu, naye lazima afe.+ 13 Jicho lako lisimsikitikie,+ nawe lazima uondolee mbali hatia ya damu isiyo na hatia kutoka katika Israeli,+ ili uwe na mema.

14 “Usisogeze nyuma alama za mpaka wa mwenzako,+ wakati ambapo mababu watakuwa wameweka mipaka katika urithi wako ambao utarithi katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe uimiliki.

15 “Shahidi mmoja asiinuke juu ya mtu kuhusu kosa au dhambi yoyote,+ kuhusu dhambi yoyote ambayo huenda akafanya. Kwa kinywa cha mashahidi wawili au kwa kinywa cha mashahidi watatu jambo hilo litathibitishwa vizuri.+ 16 Ikiwa shahidi anayepanga hila ya jeuri atainuka juu ya mtu na kuleta shtaka la maasi juu yake,+ 17 ndipo watu hao wawili wenye mzozo watakaposimama mbele za Yehova, mbele ya makuhani na waamuzi watakaokuwa wakitenda siku hizo.+ 18 Na waamuzi watatafuta kabisa,+ na ikiwa shahidi huyo ni shahidi wa uwongo naye ameleta shtaka la uwongo juu ya ndugu yake, 19 ndipo mtakapomfanyia kama vile alivyompangia ndugu yake hila,+ nawe utaondolea mbali kilicho kibaya kutoka katikati yako.+ 20 Kwa hiyo wale wanaobaki watasikia na kuogopa, nao hawatafanya tena kamwe jambo baya kama hilo katikati yako.+ 21 Na jicho lako lisisikitike:+ nafsi itakuwa kwa nafsi, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki