Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 27:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 “‘Amelaaniwa yule ambaye huisogeza nyuma alama ya mpaka wa mwenzake.’+ (Nao watu wote watajibu na kusema, ‘Amina!’)

  • Ayubu 24:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Kuna wale wanaosogeza nyuma alama za mipaka;+

      Wamenyakua kundi, ili walichunge.

  • Methali 23:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Usiusogeze nyuma mpaka wa zamani za kale,+ wala usiingie katika shamba la wavulana wasio na baba.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki