Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 19:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Usisogeze nyuma alama za mpaka wa mwenzako,+ wakati ambapo mababu watakuwa wameweka mipaka katika urithi wako ambao utarithi katika nchi ambayo Yehova Mungu wako anakupa wewe uimiliki.

  • Methali 22:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Usiusogeze nyuma mpaka wa zamani za kale, uliowekwa na mababu zako.+

  • Methali 23:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Usiusogeze nyuma mpaka wa zamani za kale,+ wala usiingie katika shamba la wavulana wasio na baba.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki