Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 20:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Kisha Musa akamvua Haruni mavazi yake na kumvika Eleazari mwana wake mavazi hayo, kisha Haruni akafa huko juu ya mlima huo.+ Naye Musa na Eleazari wakashuka kutoka mlimani.

  • Hesabu 33:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Naye Haruni kuhani akapanda katika Mlima Hori kwa agizo la Yehova, akafa huko katika mwaka wa 40 tangu wana wa Israeli walipotoka katika nchi ya Misri, katika mwezi wa 5, siku ya kwanza ya mwezi huo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki