Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 32:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Sasa akawaambia: “Hivi ndivyo Yehova Mungu wa Israeli amesema, ‘Kila mmoja wenu na auweke upanga wake kwenye paja lake. Piteni kati na kurudi toka lango mpaka lango katika kambi na kuua kila mtu ndugu yake na kila mtu mwenzake na kila mtu rafiki yake.’”+

  • Mambo ya Walawi 10:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kwa hiyo Musa akamwambia Haruni na Eleazari na Ithamari wale wanawe wengine: “Msiache vichwa vyenu vikose kuwa nadhifu,+ wala msiyararue mavazi yenu, msije mkafa wala asije akalikasirikia kusanyiko lote;+ lakini ndugu zenu wa nyumba yote ya Israeli watalilia kule kuteketeza, ambako Yehova aliteketeza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki