Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 20:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Kisha Yehova akawaambia Musa na Haruni jambo hili katika Mlima Hori karibu na mpaka wa nchi ya Edomu:

  • Hesabu 20:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 “Haruni atakusanywa kwa watu wake,+ kwa maana hataingia katika nchi ambayo nitawapa wana wa Israeli, kwa sababu ninyi mliasi agizo langu kuhusiana na maji ya Meriba.+

  • Hesabu 33:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Naye Haruni kuhani akapanda katika Mlima Hori kwa agizo la Yehova, akafa huko katika mwaka wa 40 tangu wana wa Israeli walipotoka katika nchi ya Misri, katika mwezi wa 5, siku ya kwanza ya mwezi huo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki